Pages

Subscribe:

NUMBER ONE REMIX FT DAVIDO

NUMBER ONE REMIX FT DAVIDO

DOWNLOAD/LISTEN NUMBER 1 REMIX FT DAVIDO

Search This Blog

Loading...

Thursday, September 4, 2014

FUATA HATUA HIZI KUNIPIGIA KURA KWENYE TUZO ZA CHANNEL O,CHOAMVA2014

#CHOAMVA14 Nominees

Nina kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa kila hatua mpya ninayoipiga,pasipo kuwasahau nyinyi mashabiki wangu wapenzi mnaonipa sapoti inayonipa nguvu kwa kile ninachokifanya..Tuzo kubwa barani Afrika za Channel O 2014  Zijulikanzo kama,Choamva zimewadia,na kupitia vuideo ya number 1 nimechaguliwa kuwania tuzo katika vipengere vinne(4) 
ambavyo ni pamoja na 
MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, 
MOST GIFTEDNEWCOMER, 
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA..

ni hatua na fursa nyingine njema kwa muziki wetu  kuzidi kutambulika ,hivyo tushilikiane kwa pamoja 
kunipgia kura  kwa kubonyeza hapa VOTE HERE ,kisha chagua kila category niliyopo,utaombwa kujirejista baaada ya hapo utaweza kunipigia kura mara nyingi uwezavyo.
pia njia nyingine kwa wenye smart phones go to app store/ googleplay download we chat app kisha tengeneza plofile na u search channelotv na uanze kupiga kura.unaruhusiwa kuvote hata mara 100

Saturday, July 12, 2014

KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA MOVIE YA THINK LIKE A MAN TOO

Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E  Terrence J yupo nchini Tanzania ,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN TOO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza humo,me na team yangu tulipata mwaliko,na hizi ni baadhi ya picha  tukiingia na  mahojiano ya kwenye red carpetTERRENCE AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA MOVIE KUANZA
Baada ya kutoka ,Nikisalimiana na baadhi ya mashabiki wangu 


PICHA -THE MAKING OF KIPI SIJASKIA VIDEO-PROFFESOR JAY FT DIAMOND PLATNUMZ

 Leo ilikuwa ndiyo siku tuliyoanza kushoot,vipande vya video ya nyimbo ya  Kaka angu,Profesa Jay,kipi sijaskia aliyonishirikisha ,na leo tulianzia mahakamani kulingana na script ilivyokuwa,me kama wakili wa Profesa Jay..

Thursday, July 10, 2014

HII NDIO SUPRISE NILIYOKUTANA NAYO NILIPOWASILI NYUMBANI TANZANIA JANA USIKU

Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan,na jana ndiyo siku niliyorudi,kiukweli sikutegemea kukutna na nilichokikuta,umati mkubwa wa watu wakliokuwa wamejitokeza kunipokea,kiukweli imenipa faraja sana ,kuona ji kias gani Watanzania wenzangu ,wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki,nawashukuru wote walioacha kazi zao,ama kuvunja ratiba zao,na kuja airport kunipokea,Ahsanteni na ninawapenda daima
Tuesday, July 1, 2014

MPIGIE KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA

afrimma_flyer_web2
 Baada ya BET tunalejea tena nyumbani Afrika,nipo nominated kwenye Tuzo za  #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july.
Nipo nominated kwenye category 5.
Best male east afrika
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo (nymber1 rmx)ft davido
And Best afrikan artist of the year
.kuvote fuata link hii  http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/

Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni

Diamond Videos

Loading...