Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Tuesday, April 1, 2014

PICHA:MAHOJIANO NA WAANDISHI KABLA YA PRESS CONFERENCE YA UZINDUZI WA VIDEO&AUDIO YA DO AGRIC CAMPAIGN

Angalia baadhi ya picha wakati nikifanya 
mahojiano  na medias  kabla ya  mkutano
 na waandishi wa habari,uliohusu uzinduzi

 wa video na audio ya wimbo wa campaign ya
 do agric,tuliofanya South Africa,mkutano
 ulifanyika ndani ya hotel ya Eko ,Lagos

3 comments:

 1. hongera sana kijana mola azidi kuwa nawe . na mafanikio yako yazidi kuwa mengi sana. mafanikio yako ni mafanikio ya watanzania. amen

  ReplyDelete
 2. Napenda sana kazi za huyu kijana na jitihada zake ndio zinaipelekea mpaka bongo fleva ipate heshima nchi za nje tunatakiwa tumpe sapot na si kumtukana kama wafanyavyo wengine..

  ReplyDelete
 3. Tanzania wako tu....angaika na INCH nyingine
  .

  ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...