Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Wednesday, March 19, 2014

STORY HIZI FUPI ZA MASHABIKI WANGU ZIMENIFANYA NIAMINI NI KIASI GANI KITU KIDOGO UNACHOKIFANYA KINAWEZA BADILI MAISHA YA MTU MWINGINE


Tunaishi katika ulimwenyengu ambao 
usalama umepungua,usalama 
wa mtu na mtu,usalama wa nafsi ya mtu,usalama wa mazingira 
yanayotuzunguka etc,hivyo amani na
 furaha ndiyo vitu kila mtu anataman awe navyo/

 avipate..ni sisi pekee tunaoweza kufanya changes  .
.hivyo siku ya jana nilishare mambo 
machache amabayo mtu naweza kuyafanya kwa siku
 na kwa namna moja ama nyingine  yanaweza 
badiri maisha ya mtu husika ma mtu mwingine,nilifanya hivyo kukumbushana na
 siku moja kuifanya dunia iwe sehemu
 salama kabisa kuishi.......Katika kilna 
katika hali baadae jion pasipo hata mimi kutalajia,
wengi walipost na kushare story zao za yale waliyofanya,ama kuwatendea  wengine na matokeo yake,imenifanya niamini ni
 kias gani kitu kidogo,kinaweza badili maisha ya mtu mwingine....
NIKUKUMBUSHE KILE NILICHOKUWA
 NIMESHARE NA PENGINE HUKUONA WAWEZA FANYIA KAZI PIA
Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU JARIBU KUFANYA MOJA YA HAYA NA UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI.
-Una mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka
 kumsalimu na kumtakia siku njema huyu mtu anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1:shiriki bure sehemu ya chakula chako
 na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
2:Shiriki nyimbo nzuri kwa mtu mwenye huzuni ama anye feel down
3:Mfundishe mtu ,jambo analotamani
 kulifaham na halifaham na ni wewe pekee unafahamu
4:Una nguo ama chochote usichokihitaji tena?hapana usikitupe,mpatie yule mwenye kuhitaji
5:Una rafiki ama jamaa mpweke na pengine 
hana mtu wa karibu wa kushare nae yanayomsibu,make
 a call am text kwake,mfanye ajiskie hayupo peke yake,kwani kuna siku
 nawe utakuwa mpweke na utatamani mtu wa kuzungumza nae
6:Panga ku donate damu,damu yako kidogo
 inaweza ikaokoa maisha ya mtu sehemu flani..
7:Saidia mzee,ama mtoto kuvuka barabara.
8:Ambia rafiki,family member ama mtumishi
 ni kiasi gani una mwappreciate
9:Saidia mji wako kuwa msafi,si kazi kubwa 
kuokota kipande cha uchafu na kuweka sehemu husika
10:Mpigie mzazi wako na kumwambia ni kiasi gani unampenda
11:Motivate mtu flani atimize ndoto zake
12:Jipe amani ya moyo kwa kusamehe
13: la mwisho,jifanyie wewe mwenyewe,Acha
 kufanya kitu kibaya ulichokuwa unaufanyia
 mwili wako,pengine uvutaji wa sigara,ulevi wa kupita kiasi etc
....HAIJALISHI NI KIDOGO KIASI GANI 
UTAKACHOKIFANYA,KUWEKA
 TABASAMU KWA MTU,NDICHO KINACHO MATTER ...Siku njema
chini ni baadhi ya story walizoshare watu,wakieleza nini wamefanya
2 comments:

 1. nakukubali kinoma noma mkuu.....nikiingia kwenye page yangu (instagram,facebook)lazima ziangalie umefanya nini kipya!na kufungua blog yako kutazama ulichopost..........naomba Allah anijalie pia nifikie maisha yako japo BABA yangu alinikataa ILA nshamsamehe na maisha yanaenda........(NATAMANI SIKU MOJA NISKIE UNAFATANA NA BABA YAKO KAMA BI SANDRA...IN SHAA ALLAH..KWA KUWA UNAJUA KUTHAMIN ONYESHA KWA BABA YAKO PIA)))NAJIULIZAGA MENG kwanini DIOMOND asimsamehe baba yake ?kama WEMA SEPETU alikutenda ila kwa kuwa unathamin uwepo wake ukaamua kumrudia kwanini ISIWE KWA BABA YAKO???//nakuombea bro?huwez jua walikwazana wap na mama fanya kumsamehe tu....assume ni wewe MWANAO KATUSUA NA ULIZINGUA ungefanyaje??MTU MZIMA HAOMBI MSAMAHA KAKA,,,,JISHUSHE TU MAISHA YAENDELEE.......SIKU ZOTE YULE NDO ANATAJWA KAMA BABA YAKO NA HAKUNA MWINGINE.....nakazi za kufanya ila NAPENDA UNACHOKIFANYA/NAPENDA KUKUIGA ndo maana napata mda wa kukushauri pia...NAAMIN MABADILIKO IN SHAA ALLAH NA FANYA KUMWACHIA ALLAH AMUUKUM.......

  ReplyDelete
 2. FIRST TRUST LOAN FINANCE FIRM
  WE CAN OFFER YOU ANY LOAN AMOUNT YOU REQUIRE
  Gets good money lending service today that is generally reliable,safe ,filtered
  by International Loan Agency and also Tested and Trusted. We give out loan for
  Any purposes, if you are really in need of a loan, just let us know the amount you need as a loan,and your problems will be over.We issue loans to individuals dispite their
  financial conditions.,and low credit score.,Email:firsttrustloanfirm1945@gmail.com,

  PREFIX {MR.,MRS.,MS.,DR.,etc.}
  1)YOUR NAME...................
  2)YOUR COUNTRY................
  3)YOUR OCCUPATION.............
  4)YOUR MARITAL STATUS.........
  5)SEX................
  6)MONTHLY INCOME..............
  7)ADDRESS.....................
  8)PURPOSE OF LOAN.............
  9)LOAN REQUEST................
  10)TELEPHONE..................
  11)NEXT OF KIN................
  12)LOAN DURATION....

  Team Regards,
  Joshua Anderson
  Email:firsttrustloanfirm1945@gmail.com
  Financial Controller/Operation Manager.

  ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...