Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Monday, March 31, 2014

PICHA:JIJINI LAGOS NIKIFANYIWA INTERVIEW NA KITUO CHA RADIO CHA BEAT_FM

 Nipo nchini Nigeria kwa shughri za misic
 ikiwemo,kukamilisha collabo na baadhi ya wasanii

 wa hapa nchini,lakini pia kushoot video ya wimbo
 wangu mpya,na mapema leo niloifanyiwa
 mahojiano na moja ya vituo vikubwa
 kabisa vya redio hapa Nigeria,BEAT FM.
..endelea kutembelea this is diamond,facebook
 fan page na account yangu ya instagram (@diamondplatnumz) kwa updates zaidi with one of my dancer nilieongozana nae,Dumy 
 Dummy na Dj Fetty


Nikifafanua jambo

1 comments:

  1. Safi saaaaaaanaaaaaaaaaa Diamond endelea kuitangaza nchi yetu ya Tanzania vema unawakirisha

    ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...