Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Monday, March 17, 2014

NENO LA SIKU KWA WEWE UNAEKATA TAMAA

Haijalishi ni kiasi gani
 unayaona maisha yako kuwa
 ni mabaya,..usikate tamaa ,kuna watu hawana viungo
 vyote vya mwili kama wewe,but Mungu Kakupa,unakula

 milo miwili,mitatu hata mmoja kwa siku,lakini kuna mtu
 sehemu anatamani ale tu hata hicho unachokibakiza mezani.kuna
 mtu hana kitu kabisa,ana fight japo aendelee kuishi tu.Usikate tamaa
siku zote amka ukiwa na
 moyo wa kusamehe,kushukuru
 kwa kila jambo na zaidi,appreciate kwa 
chochote 
Mungu anachokubaliki,Zingatia...MAFANIKIO NI LAZIMA KWA
 KILA ANAEFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU.

2 comments:

  1. Well said kaka...Na kazi yako unayofanya kwa bidii imekuzalia matunda na tumeyaona. Usiskize maneno ya wakorofi...Ulishasema mwenyewe kuwa wewe ni mti ulo na matunda, mawe utapurwa 2. #WCB FOREVER

    ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...