Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Sunday, March 16, 2014

KWA MJIBU WA HUYU SHABIKI,HIZI NDIZO VIDEO ZANGU BORA KWAKE


Katika pita pita zangu kwenye ,mitandao ya kijamii ikiwemo,Youtube
.Nilikutana na  video hii iliyopostiwa na bwana Peter Luta,na 
bila shaka ni mmoja ya s
habiki mzuri wa WCB,ameweka mkusanyiko wa video
 za nyimbo zangu kadhaa ndani ya video moja akizitaja ndio best video,japo nimeona kaweka na video 
ya Mziki gani ambayo nimeshilikishwa na mtu 
wangu,Nay true boy..niangalie kisha unipe maoni kama
 unakubaliana naye na kama na wewe
 unayo list ya video zangu bora waweza zitaja. 

4 comments:

 1. kafanya kazi kubwa sana.. hope hata wewe amekukumbusha ulipotoka!

  ReplyDelete
 2. Ajaaaab Sanaaaa, Uko Juu Sanaa Diamond, Nkiwa na Kshs Millioni 200, nakuleta Mombasa Upigee ndani ya Mombasa Stadium..

  ReplyDelete
 3. Mimi pia upenda sana kazi ya huyu kijana .Hongeza juhudi huko vizuri Diamond

  ReplyDelete
 4. Nami pia napenda nyimbo zako zote hasa hasa kamwambie duuu i like it

  ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...