Pages

Subscribe:

Search This Blog

Loading...

Monday, March 10, 2014

BILA SHAKA UNAMFAHMU HUYU NGURI WA MUSIC BARANI AFRICA

Ikiwa wewe ni mfuatiliaji mzuri,wa music 
wetu wa hapa nyumbani,Africa haikosi  utakuwa

 unafuatilia pia wakongwe waliosaidia kwa kiasi
 kikubwa music wetu kuwa hapa ulipo..Pichan
 mbele kabisa tupo wanne ,mwenye nguo za
 rangi ya bahari ni mmojaya wakongwe
 ninaowazungumzia...ni Raia wa Nigeria na
 ni moja ya wasanii wakongwe na 
wenye heshima ,Africa ,
awewahi Kuwa nominated kwenye Tuzo  kubwa 
duniani za Grammy mara nne(4)  2003, 2010, 
2012 na 2013,lakini pia sauti yake imo  kwenye gemu 
maarufu la  GRAND THEFT AUTO IV,unaweza niambia anaitwa nani?

4 comments:

  1. jina lake kamili ni Olufela Olufemi Anikulapo Kuti, also known as FEMI KUTI

    ReplyDelete
  2. Fela Kuti.. Mzee ni hatari huyo kwa kuimba na kupuliza Saxphone

    ReplyDelete
  3. diamond..ukiimba nyimbo changanya na english kidogo....alafu ngololo ft davido aikuwa nzuri sana..nadhani uliifanya kiharakaharaka...nyimbo zako huwa ni nzuri sana especial sauti yako nzuri..nataka kulewa ni wimbo mzuri sana..video yake ndo usipime na aichoshi kuangalia,,,.kwa kifupi nyimbo zako zote nzuri.

    ReplyDelete

Diamond Videos

Loading...